#ICGANGRoyal

11 posts
Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 22, 2026
Yajue Mawasiliano Rasmi

HELPDESK CENTRE Aidha Uongozi wa ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED

Unapenda kutambulisha Njia nyingine ramsi za mawasiliano ikiwemo:-

✔️YOUTUBE,
✔️INSTAGRAM,
✔️ FACEBOOK ,
✔️TIKTOK.

🔱KWA jina la Kampuni yetu ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LTD.

Sanjali na hayo tuna website https://icgangroyalorg.co.tz
na blog https://blog.icgangroyalorg.co.tz ambapo ukitemblea sehemu makala utaweza kupata Taarifa za kila siku kuhusu Shughuli, Huduma n.k #icgangroyalorg #WebDevelopment #TipsUpdates #news

Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 18, 2026
 Biashara yako inahitaji domain

HELPDESK CENTRE Biashara Yako inahitaji ipataikane mtandaoni , hapo ndipo utahitaji Uwe na website lakini website huwezi kuiweka wazi pasina kuwa na domain name jina ambalo litakuwa lilitoafitisha Biashara Yako na Biashara zao

Bado hujachelewa wasiliana nasi leo Upate Domain Yako na uweze kutuundiwa tovuti Yako website ili wateja wako wasipate shida tena kukupata.

Wahi ofa ya wateja 5 wa mwanzo , punguzo la bei
Biashara Yako inahitaji ipatikane mtandaoni...

Wasiliana nasi kupitia
WhatsApp +255673809913
Email
[email protected]
[email protected]
Au website
https://icgangroyalorg.co.tz
ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED,
#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain

Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 13, 2026
Happy Valentine’s Day wishes

HELPDESK CENTRE “On this special day, we celebrate love, innovation and partnership.
Happy Valentine’s Day from the CEO – ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED ❤️”


#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain

Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 02, 2026
CEO , ICGANG Yafanya Makuu

HELPDESK CENTRE Kwa Niaba ya ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED, Tunapenda kutoa taarifa Rasmi ya kuwa sasa ; ICGANG ROYAL’S ORGANIZATION kwasasa ni ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED,,.
Aidha , Utendaji wa Kawaida utabaki kama awali Ambapo Tovuti , Na mawasiliano yatabaki kuwa ni yale yale yanayopataikana katika Tovuti na Mitandaoni ya kijamii kwa kutumia jina la Taasisi yetu.

Sanjalo na Hayo , Tunawashukuru Sana Wateja Wetu ambao mmetuamini na kufanya Kuwa Biashara hata kuwa Kampuni.
Tusisahahu kuwa kila Tunalo Amini kulifanya litafanikiwa katika maisha yetu

#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain

Profile
HELPDESK CENTRE
Dec 31, 2025
Happy New Year Wishes

HELPDESK CENTRE Tunawatakia Wateja Wetu Mwaka Mpya, Lakini katika Hafla hizi tunatoa Ofa ya Hati Pinguzo katika Huduma Zetu kwa 30% . Hivyo nyote mnakaribishwa
#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain #newYear #Annivessary