#icgang

14 posts
Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 13, 2026
Happy Valentine’s Day wishes

HELPDESK CENTRE “On this special day, we celebrate love, innovation and partnership.
Happy Valentine’s Day from the CEO – ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED ❤️”


#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain

Profile
HELPDESK CENTRE
Feb 02, 2026
CEO , ICGANG Yafanya Makuu

HELPDESK CENTRE Kwa Niaba ya ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED, Tunapenda kutoa taarifa Rasmi ya kuwa sasa ; ICGANG ROYAL’S ORGANIZATION kwasasa ni ICGANG ROYAL’S TECHNOLOGIES LIMITED,,.
Aidha , Utendaji wa Kawaida utabaki kama awali Ambapo Tovuti , Na mawasiliano yatabaki kuwa ni yale yale yanayopataikana katika Tovuti na Mitandaoni ya kijamii kwa kutumia jina la Taasisi yetu.

Sanjalo na Hayo , Tunawashukuru Sana Wateja Wetu ambao mmetuamini na kufanya Kuwa Biashara hata kuwa Kampuni.
Tusisahahu kuwa kila Tunalo Amini kulifanya litafanikiwa katika maisha yetu

#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain

Profile
HELPDESK CENTRE
Dec 31, 2025
Happy New Year Wishes

HELPDESK CENTRE Tunawatakia Wateja Wetu Mwaka Mpya, Lakini katika Hafla hizi tunatoa Ofa ya Hati Pinguzo katika Huduma Zetu kwa 30% . Hivyo nyote mnakaribishwa
#icgangroyal #blockchain #webdevelopment #domain #newYear #Annivessary

Profile
HELPDESK CENTRE
Dec 28, 2025
Attendance System

HELPDESK CENTRE Huu ni mfumo utakao kuwezesha , kufahamu Aidha Wafanyakazi Wanafunzi Walio Hudhuria sehemu husika Lakini pia unaweza kutumika kufahamu nani alikuja nyumani wakati wewe haupo
#icgangroyal #attendanceSystem #blockchain #webdevelopment #domain #Ai #software #Saas